ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,904 Reaction score 42,074 Dec 9, 2018 #121 uzi mzuri huu tumejifunza
ndaga boy mtemi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2018 Posts 589 Reaction score 208 Dec 20, 2018 #122 weka mgahawa kisha ndani ya mgahawa weka mpesa na vinywaji baridi hapo umemaliza mkuu Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
weka mgahawa kisha ndani ya mgahawa weka mpesa na vinywaji baridi hapo umemaliza mkuu Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
cai JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 1,351 Reaction score 1,331 Dec 21, 2018 #123 Nenda location kafanye mambo, acha kusaka mawazo mawazo humu, hekima ya kimungu ikuongoze, mda mwingine hizi fomula za havad hazifanyi sana kazi kwenye mazingira ya kibongo, watu wamejaza sana nadharia kichwani kuliko uhalisia
Nenda location kafanye mambo, acha kusaka mawazo mawazo humu, hekima ya kimungu ikuongoze, mda mwingine hizi fomula za havad hazifanyi sana kazi kwenye mazingira ya kibongo, watu wamejaza sana nadharia kichwani kuliko uhalisia