Developer_tz
Member
- May 16, 2023
- 91
- 140
Achana na pweza.Salaam Wakuu!!
Ni muda wa kuweka vyeti kabatini na kuamua kuchakalika Sasa katika Elimu niliyopewa ni kuanzisha Biashara unique..Na kuanzisha Biashara unique ni changamoto..Mimi mkazi wa Mwanza nimefanya Tafiti nikagundua Biashara ya supu ya
Ahsante
Kumbe mpo wengi madishi yameyumba, laki 2 hiyo hiyo hata kabati linaweza pia lisitoshe bado makorokocho mengine.Katoa ushauri sahihi hiyo pesa inaweza kufanya vyote hivyo...
Usimkatishe tamaa mkuu, mie nina passport mbili, ya kwanza ilijaa na ya pili ipo nusu, naongelea hizi mpya, nina elimu ya degree and other extra certificates tena ktk elite chuo nchi hii, huko nje sio pa masihara na kozi nzuri tu. Nishafanya projects nyingi hapa bongo na nje, kiufupi tu mie ni kati ya wale wa utafiti wa kuleta EFD Hapa bongo.Ila haya maisha ya vijana wa taifa letu yanafikirisha sana. Mkuu tafuta makaratasi (passport) tukajaribu na nje ya hii nyumba kama mikoani napo imekuwa jau.
Push to the limit 💪👊
Kama una shamba kalime mboga mbogaSalaam Wakuu!!
Ni muda wa kuweka vyeti kabatini na kuamua kuchakalika Sasa katika Elimu niliyopewa ni kuanzisha Biashara unique..Na kuanzisha Biashara unique ni changamoto..Mimi mkazi wa Mwanza nimefanya Tafiti nikagundua Biashara ya supu ya
.Wasakatonge
Kazi iendelee
Ahsante
Hicho kichwa usikitumie kubebea masikio na kukivalisha miwani tuu sasa chai iko wapi hapo.Chai
Biashara ni kuthubutu, we fungua Nyegezi stendi baadae weka na Branch Nyamhongoro, maisha yatasongaSalaam Wakuu!!
Ni muda wa kuweka vyeti kabatini na kuamua kuchakalika Sasa katika Elimu niliyopewa ni kuanzisha Biashara unique..Na kuanzisha Biashara unique ni changamoto..Mimi mkazi wa Mwanza nimefanya Tafiti nikagundua Biashara ya supu ya pweza ni adimu sana na hii ni kwasababu ya usafirishaji sasa nikawa na option kama tatu hivi.Kwa anaejua au Ushauri wa Hii biashara ya supu ya pweza nawezaje kupata mzigo from Dsm to Mwanza
ikishindikana kuna option nyingine ya kuchoma nyama ya kuku..Na kuongeza vitafunwa kama chapati n.k kwahiyo naomba ushauri ipi Itafaa kati ya hizi
1.Biashara ya supu ya pweza
2.Biashara ya kukaanga kuku
Mtaji:250k(Laki mbili na nusu)
Meza jiko vyote vipo
Location
Mwanza mainly Nyegezi stand
.Wasakatonge
Kazi iendelee
Ahsante
Sawa MkuuAchana na pweza.
Kaanga kuku.
Kwa hapa stand wauza chipsi ni wengi mnooFungua kijiwe cha chips ukaweka na hao kuku wa kuchoma
"Kazi kipimo cha utu" Tupambane humuhumuIla haya maisha ya vijana wa taifa letu yanafikirisha sana. Mkuu tafuta makaratasi (passport) tukajaribu na nje ya hii nyumba kama mikoani napo imekuwa jau.
Push to the limit 💪👊
Kwa hapa stand wauza chipsi ni wengi mnoo
Acha kabisaKwanza kupata eneo hapo Nyegezi Stand ni mtiti
Unajua bei ya kabat la chips tu bei yake? Au mnaongelea Chips Vumbi zinazowekwa kwenye madell ya cello?Mamy Kwani kijiwe cha chips bei gan mbona umefura ghafla?