baba kayla Member Joined Mar 28, 2016 Posts 78 Reaction score 42 Aug 21, 2016 #1 msaada jinsi ya kudownload nymbo kwa kutumia iphone pia jinsi ya kuset rngtone za nymbo na jins ya kuweka doc pcha kutoka kwny pc
msaada jinsi ya kudownload nymbo kwa kutumia iphone pia jinsi ya kuset rngtone za nymbo na jins ya kuweka doc pcha kutoka kwny pc
Eliamini JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 616 Reaction score 738 Aug 21, 2016 #2 Hapo mchawi ni Itune
Eliamini JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 616 Reaction score 738 Aug 21, 2016 #3 Iphone zina mfumo tofauti sana na simu za android ambazo kudownload chochote hakuna vikwazo
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,429 Reaction score 27,123 Aug 21, 2016 #4 Follow hiyo link. Step by step utafanikiwa . How to set any song as custom iPhone ringtone
sanjomnyama JF-Expert Member Joined Mar 20, 2016 Posts 261 Reaction score 160 Aug 21, 2016 #5 Mkuu vip kuhusu game nzuri za Iphone kama unazijua?? Tushirikishane pia
wonderaz Member Joined Apr 16, 2014 Posts 60 Reaction score 6 Aug 21, 2016 #6 Kama huna itune tafuta apps inaitwa tubidy alafu idonwload