Thread Starter
JF-Expert Member
- Mar 16, 2017
- 1,394
- 1,070
Nenda Mlimani City zipo original sema Bei zake zimesimama sana zipo kuanzia iPhone 6 na Bei wamepunguza ni Tshs 750,000 Hawana izi za plusHabari zenu wanazengo, naombeni kupata ufafanuzi kidogo kuhusu iPhone zinazouzwa madukani makumbusho dar...nilikuwa nataka kununua ila nikafanya utafiti kidogo wengi wakaniambia nenda makumbusho
Ila kabla sijaenda nikatonywa na fundi wang wa simu akasema usiende kule watakupa simu feki, mara wengine wanasema second hand, mara refurbished, mara hazidumu kwa sababu sio orijino.
naombeni mnisaidie jaman nijue kiundani zaidi kama kuna aliyewah kununua na kujua mapunguf ya hzo simu..na pia mnielekeze sehem wanazouza hizi simu original kwa bei ya kawaida maana ni ndoto yangu na mimi kumiliki iphon... iphone 5,5s au 6 zenye storage ya 16 had 64
sijaandika huu uzi kwa lengo la kuharibu biashar ya wtu
nsamehen kw mwandiko wang kama utawakera
Iphone 6, 750k ndio wamepunguza? Wafanye hata 500k bana..Nenda Mlimani City zipo original sema Bei zake zimesimama sana zipo kuanzia iPhone 6 na Bei wamepunguza ni Tshs 750,000 Hawana izi za plus
Safari njema na karibu katika dunia ya iPhone
mkuu nimesema sina lengo la kuharub biashara ya mutuUzi umekaa kichawi Sana huu, sasa kama wamekuelekeza zinakopatikana original kwa usiende kununua huko.
iPhone nyingi zinazouzwa bongo ni usied ila sio feki.
Acheni kuharibu biashara za watu walizogharamia kuzitangaza.
zimechangamka kvp ntajie mfano mkuuMakumbusho huko ni refurbished,,mixer second hand..kingine hakuna iPhone fake
Nenda Apple store Mlimani City,bei zimechangamka kuliko kawaida..wewe si umesema unataka original??,,sogea hapo
natka mpyakuna iphone 7 plus hapa 32 gb bei laki 6 na nusu imetumika only 3 weeks bado mpya kabisa ina warranty 1 yr View attachment 1188545
sawamkuuwanakuja wataaalamu wa Iphone, sisi wa Android ngoja tusome comments [emoji41][emoji41][emoji41]
Fika 500k Kesho njoo makumbusho ufate pesa yako bosskuna iphone 7 plus hapa 32 gb bei laki 6 na nusu imetumika only 3 weeks bado mpya kabisa ina warranty 1 yr View attachment 1188545
750,000 kwa maisha haya ya baba jeska ntaweza kweli, bajet yang haifik huko bosiNenda Mlimani City zipo original sema Bei zake zimesimama sana zipo kuanzia iPhone 6 na Bei wamepunguza ni Tshs 750,000 Hawana izi za plus
Safari njema na karibu katika dunia ya iPhone
welcome again mrwanakuja wataaalamu wa Iphone, sisi wa Android ngoja tusome comments [emoji41][emoji41][emoji41]
Mfano iPhone X= 3,885,000 mara ya mwisho kufanya window shoping bei ilikuwa hiyozimechangamka kvp ntajie mfano mkuu