Iphone X inauzwa

Iphone X inauzwa

IKB

Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
75
Reaction score
29
Habari wadau, nauza Iphone x 256Gb
IMG_0070.JPG
IMG_0070.JPG
IMG_0062.JPG

Imetumika kama miezi mitano naiuza baada ya kununua x max, sio mbovu haina creck wala haijachunika.

Bei Tsh 1.400,000

Mawasiliano +255659778873
Whatsapp +255744778873
 
Yaani unamaanisha milioni moja na laki nne (1,400,000)??
 
Mkuu uo mzigo GB256 afu unauza bei cheee sana ..iyo 1.4 ni bei ya 8+ uko..ila kama kwa iyo bei ni sawa kwako fresh!! Utapata tu...
 
Huu ni mtumba wa mtanzania ujue imekoma kwa kusuguliwa
Mkuu uo mzigo GB256 afu unauza bei cheee sana ..iyo 1.4 ni bei ya 8+ uko..ila kama kwa iyo bei ni sawa kwako fresh!! Utapata tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom