Nmeamua kuanza kutumia iphone baada ya maisha ya muda mrefu ya Android now nmeamua kushift from point A to B..
Shida ya yangu ni moja tuu huku jaman.. Ningeomba nijuzwe App zitumiwazo huku ili kusave picha na videos mbalimbali za instagram.. Msaada wako plz..