mzenjiboy
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 907
- 387
Kwa watumiaji wa iPhone kama unataka kutuma email basi sio lazima kuandika.
Fungua email yako kisha andika address ya mtu unaemkusudia.
Kisha kwenye hiyo alama ya microphone hapo chini binya kisha soma au sema ujumbe wako in ENGLISH na ukimaliza binya Done.
Ukishabinya hiyo Done utaona message yako imejiandika na baada ya hapo unabinya SEND kwa kutuma ujumbe wako.
Hii inafanya kwa iPhone 4S na iPhone 5 ama iPhone nyengine sina hakika.