Iphone six plus Gb 64 kwa Tsh650k

Iphone six plus Gb 64 kwa Tsh650k

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
][
1469110239296.jpg
1469110253737.jpg
 
Tittle inasema iPhone 6 Plus
Picha zinaonyesha iPhones 6s Plus

Unajua unachokiuza kweli!?
Wewe ndo hukijui ulichokiandika!!! Nionyeshe wapi kwenye simu ilipoandika iPhone 6s plus???!!!
 
Wewe ndo hukijui ulichokiandika!!! Nionyeshe wapi kwenye simu ilipoandika iPhone 6s plus???!!!
Acha utoto iPhone hawaandikagi jina a simu kwenye cm yenyewe .. Unaijua kwa alama mfano (s) na model no ..
 
Tittle inasema iPhone 6 Plus
Picha zinaonyesha iPhones 6s Plus

Unajua unachokiuza kweli!?

Nilidhani ni mimi tuu ndio nimeliona hilo. Box ni la 6s na kwa ukubwa wa iliyopo nje inaonesha ni 6s Plus ila unaambiwa ni 6 kavu duuh. Alafu 650 wacha aliye mjinga na alizwe
 
matapeliii hao wee dar ziunzwe million mtwara laki 6 ata southafrica awauzii bei iyoo au kiwanda cha iPhone kiko uko
 
Tatizo kubwa la nchii hii ni utapeli, uneuza iphone 6 plus au 6s? Umeokota mibox yako uuze copy zako kwa bei hiyo.
 
Hawa matapeli Admin watoe na kuwanyang'anya authority za account zao. Hawawez kutumia Forum kama hii kufanya utapapeli. Waende Kupatana uko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom