Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,875
Muanzisha uzi anaonyesha chuki moja kwa mojaHapa naona mnanyokoana kati ya iphone na android
simu za wadada izo
Iphone a.k.a Gereza la kifahari inaenda kuwekewa asilimia za betri ziwe zinaonekana, zamani ilikuwa unakadiria.
Thanks.
Android haya mambo yapo kitambo,, halafu hata zile usb cable eti kwa sasa wamegundua hazina nguvu, hazina spidi ya kutransfer mafaili na sio imara kwa hio wataanza kutengeneza iphone zenye matundu ya USB C kama android
Mambo ya gereza la kifahari haya.. Zamani utawasikia "mimi asilimia za chaji za nini ?" leo hii wanasifia, Zamani utasikia "mimi cable yangu sina haraka kwenye kuchaji au kuhamisha mafaili" leo hii wanasifia iphone kutumia cable za Android [emoji23]
View attachment 2323333
Hujawai kutumia iphone mkuu inaonesha kabisa ubungo waku hauna unachokijua kuhusu teknolojia mzee asilimia kwenye iphone zpo tangu iphone 4Iphone a.k.a Gereza la kifahari inaenda kuwekewa asilimia za betri ziwe zinaonekana, zamani ilikuwa unakadiria.
Thanks.
Android haya mambo yapo kitambo,, halafu hata zile usb cable eti kwa sasa wamegundua hazina nguvu, hazina spidi ya kutransfer mafaili na sio imara kwa hio wataanza kutengeneza iphone zenye matundu ya USB C kama android
Mambo ya gereza la kifahari haya.. Zamani utawasikia "mimi asilimia za chaji za nini ?" leo hii wanasifia, Zamani utasikia "mimi cable yangu sina haraka kwenye kuchaji au kuhamisha mafaili" leo hii wanasifia iphone kutumia cable za Android [emoji23]
View attachment 2323333
Miaka yangu yote nilotumia iphones zinaonesha asilimia za betry, na ofcoz iphone ndo simu pekee ambayo ukiitumia ni tam, iOS has better interface than androidIphone a.k.a Gereza la kifahari inaenda kuwekewa asilimia za betri ziwe zinaonekana, zamani ilikuwa unakadiria.
Thanks.
Android haya mambo yapo kitambo,, halafu hata zile usb cable eti kwa sasa wamegundua hazina nguvu, hazina spidi ya kutransfer mafaili na sio imara kwa hio wataanza kutengeneza iphone zenye matundu ya USB C kama android
Mambo ya gereza la kifahari haya.. Zamani utawasikia "mimi asilimia za chaji za nini ?" leo hii wanasifia, Zamani utasikia "mimi cable yangu sina haraka kwenye kuchaji au kuhamisha mafaili" leo hii wanasifia iphone kutumia cable za Android [emoji23]
View attachment 2323333
wewe na mletamada tofauti yenu ni mashati tu.Miaka yangu yote nilotumia iphones zinaonesha asilimia za betry, na ofcoz iphone ndo simu pekee ambayo ukiitumia ni tam, iOS has better interface than android
Nafikili maana ya apo ni tofauti na ulivyodhani
battery percent IOS iko kitambo,sasa inakwenda kuonekana ndani ya bettry ktk IOS 16 update, tofauti na mwanzo ilikuwa inakaa pembeni,labda useme wameitoa androidi utaeleweka.Iphone a.k.a Gereza la kifahari inaenda kuwekewa asilimia za betri ziwe zinaonekana, zamani ilikuwa unakadiria.
Thanks.
Android haya mambo yapo kitambo,,
hapana sio kweli,Apple wana cable type C inayofahamika kama thunderbolt ina kasi nzuri sana lakini kwa kifaa cha apple kwa apple,hii type C sio mahususi kwa kuhamisha data inarenda kucharge zaidi,kilichofanyika ni maagizo kutooa jumuia ya ulaya ili kupunguza matumizi ya taka ngumu duniani,kuwa na kifaa kimoja ikiwezekana kinachoweza kufanya kazi nyingi,hivyo wameagizwa aaachane na macable lukuki ila iwepo moja inayoweza kucharge simu zote,na kufanya kazi katka kifaa kingine.halafu hata zile usb cable eti kwa sasa wamegundua hazina nguvu
, hazina spidi ya kutransfer mafaili na sio imara
mpaka sasa wanazi hawajasema kitu maama wengi,hata hawaelewi hivi vitu.wengi utasikia tu iphone tamu,hata hajui huo utamu kuuelezea.kwa hio wataanza kutengeneza iphone zenye matundu ya USB C kama android