S statement_ Member Joined Sep 11, 2016 Posts 10 Reaction score 4 Apr 7, 2017 #1 Naombeni msaada wa kuweka nyimbo kwa iTunes kupitia Maana Apple ID yangu naona hairuhusu Mimi kuweza kupakuwa any music from I tunes
Naombeni msaada wa kuweka nyimbo kwa iTunes kupitia Maana Apple ID yangu naona hairuhusu Mimi kuweza kupakuwa any music from I tunes
jerrytz JF-Expert Member Joined Oct 10, 2012 Posts 5,990 Reaction score 4,356 Apr 7, 2017 #2 Ndugu statement, sijaelewa unataka kuweka (kutoka kwenye device nyingine) muziki iTunes au kupakua(ku -download kutoka iTunes store) maana naona umetumia maneno yote mawili kuweka na kupakua!
Ndugu statement, sijaelewa unataka kuweka (kutoka kwenye device nyingine) muziki iTunes au kupakua(ku -download kutoka iTunes store) maana naona umetumia maneno yote mawili kuweka na kupakua!
S statement_ Member Joined Sep 11, 2016 Posts 10 Reaction score 4 Apr 9, 2017 Thread starter #3 Kupakuwa I tunes store I mean