Lazima uwe uliwasha find my iphone.
Kama ndio basi azima simu ya mtu(iphone),login kwa acc yako kisha nenda kwenye find my phone itakupa opt tatu,kuiliza alarm,kuifunga,kufuta kila kitu.chagua kuifunga.huko iliko itaingia lock kama aliweka line na kuwasha data.lakini kibongo bongo hatushauri kuifunga ili tuishike panya vizuri.ikiifunga imejipin nawewe kuitafuta.