Iphone 6s plus

Lete 950K, kumbuka product zinazopelekwa/kuuzwa Europe ni za quality ya juu zaidi. Na ndio maana bei za simu Europe ziko juu zaidi kuliko bei za simu aina hizo hizo Afrika(Tz).

Acha kudanganya watu,apple wanatengeneza product sawa kwa nchi zote labda mitandao ya simu watoe order zao.
 
Mfunze huyo asiyejua
 
Hivi upekee wa iPhone huwa ni nini? Mbona zinauzwa ghali sana? Nielewesheni na Mimi ninunue, mfano hiyo iPhone 6s ina sifa zp?
 
Hivi upekee wa iPhone huwa ni nini? Mbona zinauzwa ghali sana? Nielewesheni na Mimi ninunue, mfano hiyo iPhone 6s ina sifa zp?
Brand za marekani huwa ni ghali milele.

Ukitaka kujua ina nini cha maana,watasema huna hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…