HapanaKula laki 5. Fasta fasta. Baada y kuikagua.
Lete 950K, kumbuka product zinazopelekwa/kuuzwa Europe ni za quality ya juu zaidi. Na ndio maana bei za simu Europe ziko juu zaidi kuliko bei za simu aina hizo hizo Afrika(Tz).700K 0786371108
iPhone ya Europe, ya China, ya USA na SA quality ni ileile..... Kinachofanya kuuzwa bei kubwa Europe ni kodi....Lete 950K, kumbuka product zinazopelekwa/kuuzwa Europe ni za quality ya juu zaidi. Na ndio maana bei za simu Europe ziko juu zaidi kuliko bei za simu aina hizo hizo Afrika(Tz).
ni pm nikuuzie yangu iko bomba kuliko hiyo….. 6 plus, 64gb space grey700K 0786371108
Duh! Yaani unalazimisha kufananisha Iphone 6s Plus 64 GB na Iphone 6 Plus 64 GB!ni pm nikuuzie yangu iko bomba kuliko hiyo….. 6 plus, 64gb space grey
bado ipo sokoni
700k nimeikataa mkuu.miatano (500k)
Wewe bwana wewee acha saundi. iPhone ni iPhone tu.Lete 950K, kumbuka product zinazopelekwa/kuuzwa Europe ni za quality ya juu zaidi. Na ndio maana bei za simu Europe ziko juu zaidi kuliko bei za simu aina hizo hizo Afrika(Tz).
Ha ha haa! Shukrani rafiki.Wewe bwana wewee acha saundi. iPhone ni iPhone tu.
Teh teh teh! Za usoni?Huo wayacwa charger mbona mweusi sana..ulikuwa unachajia kwenye mkaa au majivu..jaribu kuwa msafi bwana..