MKUDE SIMBA
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 305
- 168
Kwahiyo?Kiongoz kuna MTU anataka kuniuzia iphone 7 32 GB,kwa iyo iyo bei,afu sealed...!?
Kwahiyo?
Hakuna anayekuibia; Hii ni 6s+ 128 Gb, hiyo unayoisema ni 7 64Gb!Ndo unambie kama wew unanibia au yeye,.!?
Hakuna anayekuibia; Hii ni 6s+ 128 Gb, hiyo unayoisema ni 7 64Gb!
Kwahiyo chagua unayopenda kati ya 6s+ 128Gb na 7 kavu 64Gb.Kwa iyo?
Kwahiyo chagua unayopenda kati ya 6s+ 128Gb na 7 kavu 64Gb.
mbona nashndwa kufungua thread yang.. .inakataa kufunguka
kwahyo ni download app ndo nitaweza kucreat ya kwanguTumia app
[emoji23] [emoji23] hilo neno ulivyolitamka km nakuona vile.(kwaiyo.?[emoji53] [emoji53] )Kwa iyo?
Kiongoz kuna MTU anataka kuniuzia iphone 7 32 GB,kwa iyo iyo bei,afu sealed...!?
Bei ya mwisho shs ngapi kama kuna maongezi uje chemba
32 GB, hii ni 128GB anyway mwambie akuuzie mkuu
Poa kitu nilichopenda IPO sealed