Plan Radeem King
Senior Member
- Mar 25, 2018
- 198
- 127
Waungwana ukiondoa OS zake ipi ni bora kuzidi nyingine
Chukua tu Nokia 3.4
Chukua infinix mzee ukavimbe kitaa
Stop it nini mzeeStop it boss
Chukua nokia hizo iPhone outdated na betri majangaWaungwana ukiondoa OS zake ipi ni bora kuzidi nyingine
Mimi natumia Nokia acha zako weweAchana na Nokia, Nokia imebaki jina tu hizi zinataengenezwa na HMD Global you will be disappointed.
Pinga na fact Nokia wanatengeneza tena simu ? Wameilicence biashara ya cm kwa kampuni ya HMDMimi natumia Nokia acha zako wewe