Phone4Sale Iphone 6s 128 gb inauzwa

Umemtajia bei kubwa hapo ni 120k iphone used zimeshuka bei sana
400k unapata used 7+/8+ sometine mpk X ambayo haina face id unapata
Mwambie akupe hiyo 120k ukamletee πŸ˜‚πŸ˜‚
 
400 ni bei ya 8 au 7+
Hiyo kwa 400 ni ngumu kupata mteja humu Bei ya sokoni ni 200k
 
Ukiuza hiyo sm uje unipige mawe nife niko hapa nimekaa
Wakati anakuua kwa mawe akurekodi ili tuamini na apost hapa 🀣🀣🀣🀣 vijana mmekuwa wa HOVYO sana
 
sasa kama unauza i6 400k hyo 12pormax utauza bei gani
zimechoka hzo ndo maana zinalipuka lipuka hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…