deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 936
- 511
Acha kukurupuka, ukiwa kwenye mitandao usihisi kila mtu ni kama wewe......
Na katafute basi uibe ili uwe na kopo la iphone
Problem solved at last mke wangu amekumbuka password yake.
Next time tumia akili kufikiri, kwa kuwa wewe ni kibaka unahisi kila mtu ni kibaka?
Mkuu hauna haja ya kumtukana aisee, huo ndio ukwel unapo reset lazima uweke password sasa ulifanikiwa vp kureset km hauna password? Wewe ni liongo tena kikubwa hiyo simu ni ya uwizi, narudia tena ulifanyaje reset bila password? Utachomwa moto kwa tabia ya uongo na uwizi, Haya msalimie mkoe mpe zawadi ya kukutunzia password.
So dangerous asee next time unaweza kufungwa asee Apple products are so delicate:check na mimi japo itakugharimu kiongozi +255785777962
Mkuu,
Huwa situmii vya wizi, hii niliinunua wakati huo safari za nje zilikuwa hazijasitishwa, so pole kwa kupoteza simu yako.
Na bahati nzuri wife amekumbuka password yake, so tatizo limeeisha.
Mkuu hauna haja ya kumtukana aisee, huo ndio ukwel unapo reset lazima uweke password sasa ulifanikiwa vp kureset km hauna password? Wewe ni liongo tena kikubwa hiyo simu ni ya uwizi, narudia tena ulifanyaje reset bila password? Utachomwa moto kwa tabia ya uongo na uwizi, Haya msalimie mkoe mpe zawadi ya kukutunzia password.
Wadau,
nina tatizo, jana ''nili-restore to factory settings'' iPhone 6 plus, nilimaliza wakati nafanya set up ikahitaji password ya account ya iCloud, kwa kweli mwenye simu hakumbuki password na mpaka sasa sijui tufanyaje.
Tumepitia mitandao mbalimbali ikiwemo apple.com na kwa kweli njia pekee ya kufanya hii simu kutumika tena ni kukumbuka password ya iCloud maana ilisetiwa kwa ajili ya security iwapo ingepotea ''find my iphone''.
Wadau kuna namna nyingine ya kufanya maana nimejaribu kutumia apps za ku-bypass icloud account lakini sipati functions zote za simu.
Msaada na ushauri wako ni wa maana sana.
Habari wataalamu..
Nina swala moja muhimu chini ya meza... Kuna simu inaitwa iPhone ukitaka ku 'update' software unaweza ukatumia wi-fi kupitia simu au ukatumia iTunes.
Swali langu ni ile simu ambayo imekuwa iCloud locked uki update kwa kutumia iTunes pale muda wa ku activate inagoma kuendelea mpaka utoea 'lock'
Kuna mtu aliyeafanikiwa ku bypass hiyo lock. (Kama ku hack)?
Natoa icloud permanent kupitia server kwa pesa za kenya ksh.25,000(iphone 5,5s na 5c) na ksh.30,000 kwa iphone 6 na 6 plus ambazo ziko clean(yaani haziko kwenye lost mode) kwa siku7,14,21,na 28 za kazi ila simu lazima iwe oficn kwangu kwa muda wote inaposhughulikiwa.
Pia nazinunua zikiwa na acloud hivo hivo kama mtu anauza
Kwa mawasiliano nicheck whatsapp number +8613320286695.
Niko Mwanza Tanzania.