kwa mujibu wa mitandao ya neowin na mingineyo wameanza kupost picha na video za iphone 6. picha zimetolewa na mtandao wa kichina na wale jamaa ambao ndio hujulikana kwa kuleak product za apple kabla hazijatoka wanaojulikana kama 9to5mac tayari wanaamini picha na video ni za iphone 6 halisi tofauti na leak zilizopita. maana kunaonekana passbook ambayo ni feature ambayo inakuja na iphone6.