muuni kashalost
Member
- Aug 27, 2021
- 35
- 50
hiv iphone six plain unaeeza kuifanya ikasapot ios 13?
Unataka simu izime?
Mi nina 6s plus nina IOS 15 nakula maisha kama vipi tafuta mtu badilishana nae na 6s plus au kuanzia 7Unataka simu izime?
Nadhani mleta mada mpaka muda huu WhatsApp ishakata