Iphone 6 ina lock, je inaweza ikafunguliwa?

The_dexter

Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
67
Reaction score
33
Nina iphone 6 lakini inalock, naomba msaada wa mawazo kama inaweza ikafunguka. Nimeletewa na ndugu yangu kutoka south afrika alinunua kwa muuni tu.
 
Imekula kwake na kwako.
Iuze kama spare tu.
 
Nina iphone 6 lakini inalock, naomba msaada wa mawazo kama inaweza ikafunguka. Nimeletewa na ndugu yangu kutoka south afrika alinunua kwa muuni tu.

Nahitaji screen mkuu tuongee biashara
Mambo ya kuitoa lock ni next to impossible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…