A alex ytpamba Member Joined Jul 11, 2013 Posts 22 Reaction score 17 Jan 17, 2018 #1 iphone 6 yangu ilianguka kioo kikaharbika baada ya kubadilsha kioo camera zote front na back hazifanyi kaz na flash haiwaki nime reset all settings bado tatzo lipo inaonesha black msaada mwenye solution yake
iphone 6 yangu ilianguka kioo kikaharbika baada ya kubadilsha kioo camera zote front na back hazifanyi kaz na flash haiwaki nime reset all settings bado tatzo lipo inaonesha black msaada mwenye solution yake
msomi kutoka znz JF-Expert Member Joined Sep 18, 2017 Posts 667 Reaction score 3,111 Jan 17, 2018 #2 Huyo fundi wako hakupanga vzuri hio simu.nenda kwa mfundi mzuri wa iPhone. Swala ni hardware sio software. Nb. Mimi sio fundi
Huyo fundi wako hakupanga vzuri hio simu.nenda kwa mfundi mzuri wa iPhone. Swala ni hardware sio software. Nb. Mimi sio fundi
P Psiteshio72 JF-Expert Member Joined Nov 13, 2016 Posts 634 Reaction score 442 Jan 17, 2018 #3 Wataalamu zaidi nawaita Kibosho 1 , hackers Tz na wengineo