Inawezekana ila ni gharamaIna maaana haiwezi kurekebishika kabisa.?
Dah! Sina uhakika mkuuInaweza kunicost shilingi ngapi mkuu.?
Inaweza kunicost shilingi ngapi mkuu.?
dean ambrose35k tuu ya kwangu ilikua na tatizo kama hilo
Nashukuru mkuuKwanza haiitwi AC inaitwa IC, kutokana na uzoefu inawezekana mkubwa kukawa na hitafu ktk components nyinginezo Kama capacitor, resistor au diode ambazo zipo kwenye power section sema fundi kaamua kukwambia IC ili akupige zaidi au hajui hitilafu ilipo,vyovyote iwavyo inarekebishika na wala sio gharama kubwa sana