Iphone 6, AC power imekufa, je inaweza kupona?

Mfalme26

Senior Member
Feb 23, 2021
128
217
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wadau.

Nimekuwa na simu yangu iphone 6, lakn ghafla juzi hapa, nilitoa kwenye charger but nilipoiplug in baada ya muda ikakataa kuwaka na kuchaji.. Nimeipeleka kwa fundi kaniambia inarekebishika.. Lakn siwaamini sana mafundi simu. Naomba mnieleweshe kabla ya kufanya maamuzi.

Nawasilisha
 
Kwanza haiitwi AC inaitwa IC, kutokana na uzoefu inawezekana mkubwa kukawa na hitafu ktk components nyinginezo Kama capacitor, resistor au diode ambazo zipo kwenye power section sema fundi kaamua kukwambia IC ili akupige zaidi au hajui hitilafu ilipo,vyovyote iwavyo inarekebishika na wala sio gharama kubwa sana
 
Nashukuru mkuu
 
Hapa watu Ndio mnakosea huku mafundi hakuna unless upate mwenye uelewa acheni trust issues hapo kikubwa inaweza kuwa system charge.
 
Lakini kwa fundi nimeenda ndio nikaambiwa IC, so numekuja hapa just kutaka kufahamishwa tu, kama inaweza kuwa repaired..
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom