G GWAMAKAE Member Joined Jul 22, 2009 Posts 18 Reaction score 0 Aug 27, 2015 #1 wakuu nataka kununua simu mojawapo kati ya hizo, naomba ushauri ipi ni bora zaidi
P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,408 Reaction score 3,269 Aug 27, 2015 #2 Chagua unataka ios au android?
Mussa waukweli. JF-Expert Member Joined Feb 28, 2013 Posts 534 Reaction score 319 Aug 27, 2015 #3 Bora samsung .....hiyo nyingne itakukosesha raha tu....mm natumia samsung s3 iko vizur xn
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,863 Reaction score 828 Aug 27, 2015 #4 jibu swali la paul s.s
Cham Bee JF-Expert Member Joined Feb 10, 2015 Posts 3,516 Reaction score 1,856 Aug 27, 2015 #5 Kama ingekuwa ni iphone 5s lakini kwa iphone 5 ni bora ununue galaxy s3.Iphone 5 ni maarufu lakini uwezo mdogo japo kwenye camera huwa ipo vizuri.Na kwa maelezo zaidi google upate undani.
Kama ingekuwa ni iphone 5s lakini kwa iphone 5 ni bora ununue galaxy s3.Iphone 5 ni maarufu lakini uwezo mdogo japo kwenye camera huwa ipo vizuri.Na kwa maelezo zaidi google upate undani.
G GWAMAKAE Member Joined Jul 22, 2009 Posts 18 Reaction score 0 Aug 27, 2015 Thread starter #6 thanks all, guys