Ila ios 11 ni tamu balaa inavitu vipya amazing, kama kurekodi screen as video na unaweza tumia mic au usitumie, pia kunaile feature nyingine ni kubadili background ikawa black ukiwa kwenye apps mfano settings,appstore na app nyingne mfano wa simu kama s6,s7, au s8. inaitwa colour invert