iPhone 5 GB 64 inauzwa bei cheee

iPhone 5 GB 64 inauzwa bei cheee

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
1,361
Reaction score
299
Habari wana biashara wenzangu,

Nauza simu tajwa hapo juu ina GB 64 iko ktk good condition bei ni 520 na ni nyeusi. Napatikana kwa namba 0713806766. nipo Sar. Internet haiko active kwa ku-attach ila kwa mwenye kuhitaji anitext nitamtumia. Maongezi yapo.

Asanteni na karibuni
 
Habari wana biashara wenzangu..nauza simu tajwa hapo juu ina GB 64 iko ktk good condition bei ni 560 na ni nyeusi. napatikana kwa namba 0713806766. nipo dar. internet haiko active kwa ku-attach ila kwa mwenye kuhitaji anitext nitamtumia.
Asanteni na karibuni.

Are you first user?
Manake tulitumiwa tangazo la Polisi tumeanza kuogopa ogopa kidogo.
Nitoe hofu mkuu
 
Ndo bei chee hiyo??ukisema unauza iphone 5 ukatoa specification na bei inatosha kuliko kuongelea swala la chee afu unaleta bei za 5s regardless of iyo storage,,,bei ya 5 ya kawaida ni 420 hadi 450,,64 gb ni around 480 n ikiwa na mpya full box ndo 500 kwa mtaani,,sasa sijui yako ina specifications gani za kipekee na iyo bei chee unalinganisha na na bei za wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom