700000?
Hata 5s haifiki hiyo bei kwa mkononi
Be serious
Sema rangi na pia weka picha
tell u what brother? it is my business and this is the business situation i have sold toleo hilo iphone kadhaa kwa price hiyo hiyo ambayo we unaipondea na sio lazima u comment kila post unayoiona usikatishe tamaa readers wengine wa post hii na ujue humu humu jf wapo watu wana uwezo wa kununua chochote kwa bei yoyote U GOTTA B SERIOUS!