puravida Member Joined Jan 8, 2012 Posts 74 Reaction score 2 Apr 22, 2016 #1 16GB Iko katika hali nzuri na hsina tatizo lolote Maongezi yapo Mawasiliano 0712338291
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,758 Reaction score 39,493 Apr 22, 2016 #2 Hii ni iPhone 5 au ni iSamsung.....??
Tareeq JF-Expert Member Joined May 3, 2010 Posts 828 Reaction score 408 Apr 22, 2016 #3 Si inasomeka katika picha naona atoe Bei kwa hiyo Galaxy Note 4
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 15,902 Reaction score 15,674 Apr 23, 2016 #4 Hivi huyu muuzaji yuko sawa sawa kweli? Yani hajui iphone ni zipi na yeye anachouza hajui ni nin!! Umenipotezea mda wangu kufungua huu uzi.
Hivi huyu muuzaji yuko sawa sawa kweli? Yani hajui iphone ni zipi na yeye anachouza hajui ni nin!! Umenipotezea mda wangu kufungua huu uzi.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,549 Reaction score 21,676 Apr 23, 2016 #5 Maongezi yanakuwepo baada ya kuweka bei halisi
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,158 Reaction score 6,572 Apr 23, 2016 #6 Iphone 5??!!..