Du enzi zile aise miche iliuzw sana pale ubungo, mpk mzee wangu aliuziwa mmoja tukiwa ndani stend akinisindikiza kukwea satelite kuelekea Tanga ilikuwa miaka ya 2001 hivi, na walikuwa wajanja sana na zile bahasha zao makini.Sie wengine washamba ingawa uwezo wa kununua tunao tunaogopa kuuziwa pande la sabuni.
Wazee na Mimi Nina iPad 2 Wi-Fi almost new bei 400,000 kwa atakayeitaji aje pm tuwasiliane chaap
mkuu ipo 300 cash kama upo tayari nichek whatsapp 0776575755iko vizuri
0625753365, nipo morogoro