iPhone 5 16GB inauzwa kwa bei cheee

iPhone 5 16GB inauzwa kwa bei cheee

nellyzk

Senior Member
Joined
May 24, 2013
Posts
153
Reaction score
24
Nauza used iphone 5 16gb white IOS 8.1 kwa tsh 500,000/- iko katika hali nzuri haina mchubuko wowote kama uko interest ni Pm ImageUploadedByJamiiForums1415774929.346167.jpg ImageUploadedByJamiiForums1415774964.592591.jpg ImageUploadedByJamiiForums1415775034.989624.jpg ImageUploadedByJamiiForums1415775067.790769.jpg ImageUploadedByJamiiForums1415775137.704326.jpg
 
Kumbe ishafika hadi 8.1 os
Mi nikajua ni 8
 
isije ikawa imetumika upiga matukio au yenyewe ni tukio tosha maana pana IMEI codes na watu wanazisaka sana, pana jamaa imemtokea puani hizo simu used kumbe imeporwa sehemu!
 
isije ikawa imetumika upiga matukio au yenyewe ni tukio tosha maana pana IMEI codes na watu wanazisaka sana, pana jamaa imemtokea puani hizo simu used kumbe imeporwa sehemu!

chukua 300000 mkuu
 
Hizi cm bwana Kiboko, ukiuziwa yenye Apple ID usiichukue maana Hakuna mwenye uwezo wa kuitoa/kuflash... Jamaa anazo za kupigwa airport Kampa mtoto anachezea imeshindikana kutoa lock!!
 
nellyzk umemsikia mdau Ndollo anachosema lakini?

Hizi cm bwana Kiboko, ukiuziwa yenye Apple ID usiichukue maana Hakuna mwenye uwezo wa kuitoa/kuflash... Jamaa anazo za kupigwa airport Kampa mtoto anachezea imeshindikana kutoa lock!!

Nauza used iphone 5 16gb white IOS 8.1 kwa tsh 500,000/- iko katika hali nzuri haina mchubuko wowote kama uko interest ni Pm
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom