habari wana jf napenda kuwatangazia kua nauza iphone 5 ambayo nimeinunua mpya na nimeitumia wiki tatu tu haina mchubuko wowote na ipo ktk hali nzuri haina matatizo bei nataka mil 1.4 (1400,000/=) kwa mawasiliano 0712212220 Device type: Smart phone OS: iOS (6) Dimensions: 4.87 x 2.31 x 0.30 inches (123.8 x 58.6 x 7.6 mm) Weight: 3.95 oz (112 g) Memory : 16 GB color: white
Na kwa usalama zaidi na kuondoa wasi wasi ni vyema nikakuuzia dukani kwangu!
mkuu umesema umeshaitumia ukiangalia bei yako ni kama £ 549 wakati mpya mkuu ni £509 ni sawa na tsh 1,297,750/= kwa sales ya january 2013 hata nikitumia usafiri nikiweka laki moja bado iko chini mkuu punguza tuongee biashara,