Iphone 4S sokoni

Allency

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
16,648
Reaction score
16,927
Dear all,
Kwa anayehitaji simu aina ya iphone 4s yenye iOS 7 kwa shilingi laki 3.5 ani PM kwa mawasiliano zaidi.
More specification waweza check kwa net.
Simu bado iko katika hali nzuri sna,
Unapata receipt na
Charger.
Kasoro Headphones tu
 
Una uhakika na hizo iPhones zako sio magumashi. Kama zina uhusiano na wachina bora uache kuzipigia debe. Pia kumbuka iPhone 6 ipo sokoni teyari

Je hizo simu ni factory unlocked??? Maana isije sumbua ku update kwenda IOS 8 ambayo imezinduliwa jana
 
Hii iko unlocked na nmekuwa naitumia kwa mitandao yote, na wala si ya kichina, kwa kudhihilisha hilo waweza update kwenda hiyo IOS 8 kama iko tayari

Kama we ni serious buyer just ni PM ili nkupe namba ya simu
 
Na ndio simu hii nmekuwa natumia hapa JF kwa mda wote
 
Allency weka picha tafadhali kama hutojali.
Halafu hujasema ni ya GB ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Mimi ninayo original ila ya VERISON haina sim card,,, sooo mwenye kuihitaji aniambie tu nitamtumia
 
300,000 kama sawa ni pm

Kwa kuwa watanzania lazima tupunguzane fine tufanye 330,000
Please hii ndo bei ya mwisho, kwa aliye tayari sasa tuhamie kwa Pm kwa ajili ya kufanya biashara na si negotiations
 

laki mbiliii faster
 
laki mbiliii faster

Hapana, mwisho ni 330,
Unaweka icloud account yako which will help u find it wherever it goes, so ishu ya wizi hakuna tena kwani find my iphone app ndo kiboko ya wezi,
Nakubali usemi wa hawa apple kuwa your iphone is your iphone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…