el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,074
Bei ni shilingi laki tatu na nusu tu 350000/=
No bargaining cause sipunguzi hata shilingi 10.
No defects,No shit.
Kwa mawasiliano uje Pm.
Mind you kama utataka tuongee biashara halafu una chini ya amount tajwa 350 utakuwa unajisumbua.
Id na password unapata.
Mzigo ni genuine sio feki nalazimika kusema hivi kwa sababu Iphone mchina zipo kibao siku hizi.