iphone 4s inauzwa 150000, ni PM chap..

iphone 4s inauzwa 150000, ni PM chap..

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,578
Reaction score
1,817
nadhan unaweza pata hata picha yake kwenye google..
ni PM tuzungumze na tumalizane..
 
hata (legally obtained) mchina used hupati kwa bei hiyo,,
 
sio masihara wakuu na sina mambo hayo..
 
Hii lazima itakuwa feki ungekuwa serioius kweli ungesema atleast hata laki 4
 
Duh 150,000??? Au ndo sikukuu ya wajinga inaendelea???


Sent from my EyePhone
 
Jana tu dogo amepoteza iPhone yake katika mazingira ya kutatanisha
 
huwezijua inawezekana ni original,mkuu ni PM contacts zako tuwasiliane kama original ntakupa 200,000/= cash,,
 
dah.....kama ni hivi sasa tutumie simu gani.....?
 
Nimewasilana na mdau ni simu ya sister wake, afu kama amgeshaghairi kuiuza, anadai ilikua inauzwa kwa hiyo bei kwa sababu ilianguka ikawa imevunjika kioo cha nyuma ila kwa mbele iko fresh na inapiga mzigo kama kawa, ilikua nionane nae asubuhi ya leo , huyo dada akawa ameshabadili mawazo ( nadhan alipata washauri wazuri wa kumshauri) na ile hali ya kupanik ilishapungua...so I think no more business guys
 
Back
Top Bottom