1.5 tutafanya biashara
mm nauza laki saba, kitu o.g from amerika niyakampuni ya t&t. Used zenye hali nzuri.
new Iphone 4s 32Gb for sell 3 days old in bongo land USD 1200 inakuja na cover ya uhakika na screen protector ya kiyoo cha nyuma na mbele na ukitaka ma apps over 100 tunakurekebishia...Mawasiliano zadi nitafute kwa line ya voda 0766006607 ukinikosa twanga sms.
View attachment 42451View attachment 42452View attachment 42453View attachment 42454
Iko locked or unlocked? Software ya ku-unlock 4S bado haijaingia sokoni, so Sijui utawezaje kuifanya ifanye kazi sawasawa na kuenjoy kila kilichopo kwenye hiyo simu? Iphone ni kama computer, sasa kama hutaweza kutumia functions nyingi humo, is as good as kuwa nayo tu kama status flani hivi lakini haina value for your money. Iphones work perfectly in US, Bongo ni kuzushana, utaweza kupiga na kupokea ikiwa unlocked yes, but how about other applications? like GPS ETC.
hii iphone 4s ipo unlocked imenunuliwa hivyo kama wataka nishaweka kikadi cha voda na kinafanya kazi kwa ajili ya kudemo features zakeIko locked or unlocked? Software ya ku-unlock 4S bado haijaingia sokoni, so Sijui utawezaje kuifanya ifanye kazi sawasawa na kuenjoy kila kilichopo kwenye hiyo simu? Iphone ni kama computer, sasa kama hutaweza kutumia functions nyingi humo, is as good as kuwa nayo tu kama status flani hivi lakini haina value for your money. Iphones work perfectly in US, Bongo ni kuzushana, utaweza kupiga na kupokea ikiwa unlocked yes, but how about other applications? like GPS ETC.
new Iphone 4s 32Gb for sell 3 days old in bongo land USD 1200 inakuja na cover ya uhakika na screen protector ya kiyoo cha nyuma na mbele na ukitaka ma apps over 100 tunakurekebishia...Mawasiliano zadi nitafute kwa line ya voda 0766006607 ukinikosa twanga sms.
/QUOTE]
Kwanini uuze ghali hivyo? Halafu ni heri ununue 4G kuliko 4GS. 4GS zinasumbua sana battery. Processor imeizidi simu. Wataalamu wa simu wanaona heri waendelee na 4G huku wakisubiri kuona toleo la 5G litakuwaje.
mkuu hizo model za IPhone zimetoka lini, tupo California mda wote na model halisi ni 4 na 4S, ​hamna 4G, 4GS ila kuna 4 CDMA,,,,new Iphone 4s 32Gb for sell 3 days old in bongo land USD 1200 inakuja na cover ya uhakika na screen protector ya kiyoo cha nyuma na mbele na ukitaka ma apps over 100 tunakurekebishia...Mawasiliano zadi nitafute kwa line ya voda 0766006607 ukinikosa twanga sms.
/QUOTE]
Kwanini uuze ghali hivyo? Halafu ni heri ununue 4G kuliko 4GS. 4GS zinasumbua sana battery. Processor imeizidi simu. Wataalamu wa simu wanaona heri waendelee na 4G huku wakisubiri kuona toleo la 5G litakuwaje.
watuwengine vituko tuu achana naye hajui anachoongea yani bongo 3g matatizo unaongelea 4G huko wanakotumia tuu wenyewe 4G spidi sawa tuu na 3g mengine yote longolongoo tuu. Halafu anasema amesika kwa wataalamu wanaopewa vitu vya bure kuvifagilia. Tuliotumia vitu ndo tunajua kipi kinafanya kazi na kipi hakifanyi manake tumetoa hela yetu tuliopata kwa jasho letu bongo hii baada ya kunywa maji lita tano....mkuu hizo model za IPhone zimetoka lini, tupo California mda wote na model halisi ni 4 na 4S, ​hamna 4G, 4GS ila kuna 4 CDMA,,,,