Iphone 4

Iphone 4

weka sampuli za picha zake. Bei poa ni too subjective, eleza poa kwa maana gani shilingi ngapoi? kwa kifupi. bei poa kwako kwa wengine bei mote hiyo
 
Zisije zikawa ni za mafungu,anguka bei basi tujue
 
Hizo iPhone ni original kaka? maana bei yako kweli na nafuu!
 
bei ni nzuri nitakutafuta mzaz ila mbona ujataja specification zake?
 
<br />
<br />
Mimi nauza iphone5 16gb orijino itakapokuwa tayari ntaweka thread yake hapa bei mil 1.4 nahisi kwa tz bado hamnazo
wabongo mkishatoka nje ya mpaka bana mnasahau kabisa kuwa ni wazaramo, haya huko Somalia ulipo naona Iphone 5 ishatoka kabla ya Tarehe ya kuwa Launched,,,😛eace:😛eace:
 
wabongo mkishatoka nje ya mpaka bana mnasahau kabisa kuwa ni wazaramo, haya huko Somalia ulipo naona Iphone 5 ishatoka kabla ya Tarehe ya kuwa Launched,,,<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/peace.gif" border="0" alt="" title="Peace" smilieid="238" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/peace.gif" border="0" alt="" title="Peace" smilieid="238" class="inlineimg" />
<br />
<br />
Ndo mana nkasema hamnazo
 
Back
Top Bottom