unaiuza sh ngapi kama upo serious na biashara weka kila kitu wazi au unapenda kupigiwa simu hovyo hovyo??.
ukiweka bei itasaidia pia kwa maana ukiona mtu anakupigia utajua kabisa huyu ni mnunuaji au kakaribia kufikia bei yako sasa ww unaweka namba yako nakusema upigiwe watu watakupigia mwisho wa siku anakwambia ana elfu 30 sijui 50 utamlaum??
siku zote ukiwa smart kwenye mambo yako lazima yatakwenda smart tuu siku zote hakika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.