Iphone 4 factory unlocked for sale

Damson88

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
259
Reaction score
24
IN A VERY STABLE CONDITION, WHITE IN COLOR, 16GB iOS 7.0.4 (LATEST) HAS A SHINNY SCREEN PROTECTOR JUST TSHS.320,000/=
IT`S A QUICK SALE BEACUSE I NEED MONEY HARAKA SANA. NO COMMENTS NEEDED JUST CASH OUT 0713218388
 
IN A VERY SATBLE CONDITION, WHITE IN COLOR, 16GB iOS 7.0.4 (LATEST)
IT`S A QUICK SALE BEACUSE I NEED MONEY HARAKA SANA. NO COMMENTS NEEDED JUST CASH OUT 0713218388

Unafanya mchezo na vichwa vya humu
Kama upo serious kamilosha Tangazo ka vp tumia hiyo device yenyewe ijipige picha ksma hauna camera

Kamilisha Tangazo hamna hata bei bwana
 
Unafanya mchezo na vichwa vya humu
Kama upo serious kamilosha Tangazo ka vp tumia hiyo device yenyewe ijipige picha ksma hauna camera

Kamilisha Tangazo hamna hata bei bwana

Halafu anasema NO COMMENTS NEEDED utafikiri anamiliki hii forums, Damson88 lipia tangazo libandikwe pale juu, lakini ukipiga mkwara HAUTAKI comment wakati umepost kwenye forum ya watu utakuwa unashangaza tu!
 
Last edited by a moderator:
Poa ntafanya hvyo next time saev nahitaji pesa na comments zije moja kwa moja kwenye simu yangu hapo juu kwasababu sina muda kujibu kila comment.
 
Poa ntafanya hvyo next time saev nahitaji pesa na comments zije moja kwa moja kwenye simu yangu hapo juu kwasababu sina muda kujibu kila comment.

Ntaku upload manual jinsi ya kufanya biashara hap nipe mda
Vinginevyo...
 
Tatizo tumeshaathirika na hizi Samsung mascreen 4.5" kwenda mbele. iPhone 4 ina.3.5" daah, ova calculator.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…