K Kalidini Member Joined Jul 20, 2011 Posts 12 Reaction score 0 Aug 15, 2011 #1 IPHONE 4 brand new from UK 16GB zinauzwa kwa bei ya 750,000/-. Simu zote ni UNLOCKED , wewe unaweka LINE yako na kuanza mawasiliano mara moja. Kwa yeyote anayehitaji anaweza kuwasiliana nami kwa namba 0656 247324.
IPHONE 4 brand new from UK 16GB zinauzwa kwa bei ya 750,000/-. Simu zote ni UNLOCKED , wewe unaweka LINE yako na kuanza mawasiliano mara moja. Kwa yeyote anayehitaji anaweza kuwasiliana nami kwa namba 0656 247324.
E elank54 JF-Expert Member Joined Aug 23, 2011 Posts 479 Reaction score 21 Aug 23, 2011 #2 mwisho bei ya kununua io??
Biohazard JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 2,197 Reaction score 1,471 Aug 23, 2011 #3 gharama ya kukata lyn ni juu yako au kwa mteja?
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,852 Reaction score 95,063 Aug 24, 2011 #4 Mkuu nina 500,000/= hata sasa hivi tufanye biashara,kama upo safi ni-PM
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,161 Reaction score 8,928 Aug 29, 2011 #5 Biohazard said: gharama ya kukata lyn ni juu yako au kwa mteja? Click to expand... hiyo ya kukata laini lazima ile kwako mnunuaji pale Arusha kuna duka linaitwa Benson huwa wanakata laini
Biohazard said: gharama ya kukata lyn ni juu yako au kwa mteja? Click to expand... hiyo ya kukata laini lazima ile kwako mnunuaji pale Arusha kuna duka linaitwa Benson huwa wanakata laini