Quinty JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 462 Reaction score 74 Dec 6, 2011 #1 Nauza iPhone 3G's iko kwenye hali nzuri nimeitumia miezi mitatu tu. Anayetaka anipm tufanye biashara. Attachments DSC06915.jpg 60.7 KB · Views: 92 DSC06916.jpg 57.8 KB · Views: 75 DSC06918.jpg 52.5 KB · Views: 67 DSC06919.jpg 52 KB · Views: 73 DSC06920.jpg 43.7 KB · Views: 74
Nauza iPhone 3G's iko kwenye hali nzuri nimeitumia miezi mitatu tu. Anayetaka anipm tufanye biashara.
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,483 Dec 6, 2011 #2 Are you out of your freaking mind? Dollar laki nne hiyo Iphone ina uhai?
libent JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 382 Reaction score 89 Dec 6, 2011 #3 huyu anaumwa $ 450,000 ?????
Enginier JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 276 Reaction score 36 Dec 6, 2011 #4 Do you knw $ lakini ? then times 450,000. Do u knw mathematics?
King2 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 1,277 Reaction score 182 Dec 6, 2011 #5 Me nna shs 30,000/=
StaffordKibona JF-Expert Member Joined Apr 21, 2008 Posts 669 Reaction score 62 Dec 6, 2011 #6 Amekosea alitaka kuandika Tsh 450,000
Vin Diesel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 9,087 Reaction score 6,392 Dec 6, 2011 #7 Tz hii unapata iphone 4 mpya kwa tsh 850000....
Mpita Njia Platinum Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,999 Reaction score 1,189 Dec 6, 2011 #8 StaffordKibona said: Amekosea alitaka kuandika Tsh 450,000 Click to expand... We Kibona una uhakika kakosea? Mbona mwenyewe haji kurekebisha?
StaffordKibona said: Amekosea alitaka kuandika Tsh 450,000 Click to expand... We Kibona una uhakika kakosea? Mbona mwenyewe haji kurekebisha?
K Kifulambute JF-Expert Member Joined May 8, 2011 Posts 2,539 Reaction score 763 Dec 6, 2011 #9 kama hamjui mathematics muende hata std 2 mkajifunze...$450,000 unajua ni ngapi kwa TZ hapo tu kwanza wewe huna integrity
kama hamjui mathematics muende hata std 2 mkajifunze...$450,000 unajua ni ngapi kwa TZ hapo tu kwanza wewe huna integrity
muwaha JF-Expert Member Joined May 13, 2009 Posts 740 Reaction score 148 Dec 6, 2011 #10 Duuuuuuu! Kweli bongo ni nomaaaaa,jamaa anauza simu au mgodi?
escober JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 391 Reaction score 98 Dec 6, 2011 #11 he must be out of his ****in mind
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,143 Reaction score 8,875 Dec 6, 2011 #12 Huenda kakosea wajameni nafikiri alitaka kuandika $ 450,si majua hakuna umeme sasa huenda jamaa katumia kisimu
Huenda kakosea wajameni nafikiri alitaka kuandika $ 450,si majua hakuna umeme sasa huenda jamaa katumia kisimu
Brakelyn JF-Expert Member Joined Oct 6, 2009 Posts 1,181 Reaction score 522 Dec 6, 2011 #13 1USD = 1690TSH,,,,, $450,000=76,0500,000TSH ,,, Iphone 3GS kuuzwa milioni 76 Tanzania,!! :smash: :smash: alafu mkuu hii mbona bado ipo na AT&T hapo, inapatikana marekani tu au ni factory Unlocked kuweka hata mitandao ya Bongo? pili, ina capacity gani? tatu, punguza bei $450,000 ipo juu sana',,,
1USD = 1690TSH,,,,, $450,000=76,0500,000TSH ,,, Iphone 3GS kuuzwa milioni 76 Tanzania,!! :smash: :smash: alafu mkuu hii mbona bado ipo na AT&T hapo, inapatikana marekani tu au ni factory Unlocked kuweka hata mitandao ya Bongo? pili, ina capacity gani? tatu, punguza bei $450,000 ipo juu sana',,,
Memo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 2,157 Reaction score 760 Dec 6, 2011 #14 Mi nimependa hii tu!!! Hayo mengine mi hayanihusu
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Dec 6, 2011 #15 StaffordKibona said: Amekosea alitaka kuandika Tsh 450,000 Click to expand... hajakosea bana
Quinty JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 462 Reaction score 74 Dec 6, 2011 Thread starter #16 Jamani bei ni TZS 450,000/- Pungufu mnaongea.
Quinty JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 462 Reaction score 74 Dec 6, 2011 Thread starter #17 Hii picha nilipiga kabla sijabadili mtandao from AT&T to Airtel
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 2,950 Reaction score 2,489 Dec 7, 2011 #18 Laki mbili ipo, siku ukiona inafaa tuwasiliane.
baraka607 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 844 Reaction score 168 Dec 7, 2011 #19 Tshs. 280,000 twende sawa nikupe pesa!QUOTE=Quinty;2937614]Hii picha nilipiga kabla sijabadili mtandao from AT&T to Airtel[/QUOTE]
Tshs. 280,000 twende sawa nikupe pesa!QUOTE=Quinty;2937614]Hii picha nilipiga kabla sijabadili mtandao from AT&T to Airtel[/QUOTE]
baraka607 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 844 Reaction score 168 Dec 7, 2011 #20 Quinty said: Nauza iPhone 3G's iko kwenye hali nzuri nimeitumia miezi mitatu tu. Anayetaka anipm tufanye biashara. Click to expand... Ntakutoa 280000/=
Quinty said: Nauza iPhone 3G's iko kwenye hali nzuri nimeitumia miezi mitatu tu. Anayetaka anipm tufanye biashara. Click to expand... Ntakutoa 280000/=