Iphone 3g is not charging

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Posts
3,824
Reaction score
2,079
Wakuu nina Iphone 3G kila nikiweka kwenye charge hata haichacharge nimesumbuka nayo leo siku ya tatu,Naomba msaada wa kutatua tatizo hili.
 
Badilisha cable ya kuchajia huwa zinaMalfunction kwa ndani,,
 
Nimejaribu kubadili cable mara mbili lakini bado tu hai-chaji,
 
Charging system itakuwa imekufa,inauzwa sh 15,000
 
Charging system itakuwa imekufa,inauzwa sh 15,000

Chanzo cha tatizo nilikuwa safari njiani chaji ikaisha na simu ikazima kabisa,nilipofika nyumbani nikaiweka kwenye chaji mpaka asubuhi haina moto kabisa naona tu ile alama ya betri na Thunderbolt tu basi,nikachukua iphone nyingine nikaiweka kwenye charger ile ile na ikafanya kazi kama kwaida hapo ina maana cable ni safi.
Mimi niko Kahama sijui wewe uko wapi nikutafute ili nimalize tatizo langu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…