Bandugu iphone yangu niliiangusha sasa touch screen haifanyi kazi ila inawaka vizuri na cm ilipigwa inaingia ila tatizo ndo hili cwezi hata kupokea cm msaada plz.
mkuu touch screen ndo imekwenda hiyo inabidi ufanye replacement katika hiyo touch screen utarudi katika hali ya kawaida naamini utaweza kupata nyengine inategemeawapi upo .