๐—œ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐Ÿญ๐Ÿฑ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—บ๐—ผ๐˜๐—ผ [emoji17]

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,293
Reaction score
2,623
View attachment 2768389

Kampuni ya apple inatoa toleo jipya la iOS 17 ili kuweza kutatua changamoto ya simu za iphone 15 pro kupata sana moto kupita kiasi.

Toka iphone 15 zilizopotoka watu wengi wamelalamika sana kuhusu kupata moto wakati unatumia Yani inashika moto kama unachemsha maji Kwenye birika.

View attachment 2768388

Hatimaye apple wametoa maelezo kuhusu hiyo changamoto kuwa ni Third part app ambazo zinasababisha simu za iphone 15 pro kupata sana moto.

View attachment 2768390

Kwaiyo wanafanyia marekebisho iOS yao kwa kuondoa bugs na kufanya update ya app ambazo zinaleta shida Kwenye iOS 17.

Maelezo ya apple [emoji116][emoji116]
 

Attachments

  • iphonejoto1.jpg
    62.6 KB · Views: 7
Ni kawaida kwa products mpya kuwa na drawbacks za hapa na pale..

Ila kwa sababu Apple wanajifanyaga wao wako perfect, na wanawaaminisha watu wao huwa hawakosei, ndiyo maana kelele ni nyingi..

Hata hivyo toleo la iphone 15 halina tofauti saaana na iphone 14.
 

Apple hawajifanyi kuwa perfect ila ni enterprise edition. Na hii si simu ya kwanza kuwa na tatizo la over heating. 12 max pro, 8 plus , x plain ziliwah experience hii kitu. But wakarekebisha na watu wakazidi kununua
 
Usikute moto wa Kariakoo leo umesababishwa na iphone 15!
Ewee Mwenyezi Mungu tunusuru...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ