Wakuu niko na iPhone 11 plain hapa naiuza,
128gb,
Face id bado ipo
Battery health now inasoma 73%
Ina crake kidogo kioo cha nyuma,.
Kama unahitaji hit my dm Asap!
Kama uko Songea pia itapendeza zaidi, uje uione mwenyewe
Hazinipi uhuru naouhitaji! mimi kidogo ni mtundu mtundu so kuna baadhi ya application nikizitaka kwenye iPhone hazikubali ama kwenye store yao haipo!, inakuwa kama nipo gerezani!.