Bado unatumia I Phone na Samsung
Mtu smart alishaacha kutumia hayo makopo kuna simu nzuri na kali za kisasa siyo hayo makopo
Mkuu unanua kitu kwa kufuata Brand name au unafuata ubora na Teknolojia
Kwa ubora na teknolojia hizo I phone na Samsung ni makopo