Ipe maneno

Nichukue nafasi hii kuwapa pole wale wote walioamini kundi la bodaboda ndio vijana... wakasahau katika mtaa wowote ule au kijiji chochote bodaboda hawafiki hata theluthi ya vijana katika maeneo yao, kila kikao na kila harakati wakafanya nao wakawapa mibendera yenye rangi ya DAMU na SANDA wakawanunulia vijana VIROBA AINA YA JOGOO ila wakinywa wanatoa mlio wa TETEA

Wakawageuza vijana wa bodaboda vyombo vya habari kwa kuwalipa ili wafunge MIBENDERA YAO Kwenye pikipiki zao VIJANA WAKAAPA wakaja na msemo TUNAKIJUA TUNACHOKIFANYA SUBIRI TAREHE 25 Wakaaapa watakua nae popote alipo Wale FEDHA ZAKE walizodai wameibiwa kwa mda mrefu wakaapa kubuni kila mbinu ya kuzila fedha hizo mpaka tone la mwisho....

AKAJIONA ANAPENDWA SAAANA KUMBE INAPENDWA NOTI, AKAUZA HISA ZAKE VODACOM PAMOJA NA VIWANJA ILI MAHABA YAONGEZEKE akanunua wazee walioishiwa pumzi kuleta MABADILIKO KUMBE NI MIHANGAIKO BORA WANGECHEZA KIDALI PO NA WAJUKUU WAO...

KESHO NDIO KESHO YULE NYOKA MWENYE VICHWA VINNE KIMOJA CHA UROHO WA MADARAKA, KIMOJA CHA UBINAFSI , KIMOJA CHA UFISADI NA KIMOJA CHA ROHO MBAYA KITAPONDWA NA KUSAGWA HATAINUKA TENA ..

JE MLIOSEMA ULIPO TUPO AKIWA ANACHUNGA NG'OMBE KIJIJINI MTAKUWEPO AU NDIO ATAGUNDUA MAHABA YALIKUA MALAPA.... sasa yamekatika anatembea PEKUPEKU....Mpasuko mkubwa unakuja kwa watani zetu stariing wa lawama zote yupo kati kati pichani anatafakari... anatamani siku zirudi nyuma ila siku hazina rivas

WHERE MY PARTY WILL BE THIS TIME TOMMOROW....jibu hapati kidevu kinawasha tuuu..... hahahahahahahahaahahahahahahau watani MLISHAELEKEA KIBRA.....

In loving memory of DEO FILIKUNJOMBE

Nb kesho boda boda watakua wanakula vichwa kupeleka wapiga kura na kuwarudisha ...akirudi anachukua mwingine kesho ni siku ya kutengeneza wao fedha wenye akili wameshaelewa... waliowekeza huko wakisoma hapa wanaweza kulia

Tulinde amani ya taifa letu

Kila la heri watani n

............24/05/2015
 

Wewe ushavurugwa na kesho ndo unakuwa chizi foreva
 
Ewe Mtanzania nakuombea uwe na afya njema na ujasiri wa kujitokeza kupiga kura...
KAMA MTANZANIA NI LAZIMA UKAPIGE KURA.. iwe mvua, iwe jua, iwe radi, wapige mabomu am risasi...
Nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe kwa maamuzi yetu wenyewe...acha maneno maneno...
Fanya Uamuzi sahihi.... Tumia kura yako kuleta MABADILIKO kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho....!!
 
acha kutambiana wapiga kura ndio wataamua ww kura yako moja2 zaidi ya hayo yeyote anaepita ni mtanzania vinginevyo kama una maslah binafsi na chama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…