Ipe maneno

ha ha ha utamu upo hapa jamaa akusikia kuguswa kabisahapo ikulu duh
 
huyo jamaa wa mbele atakuwa ndio yule bosi wa apple
 
Hahahaaaaa bora kungekua na foleni sasa hapo wapo wawili tu....
 
Wameshindwa kuachiana nafasi!

Mambo gani ya kugandana gandana
 
Ni bora tubanane tu kuliko watoto wa MUJINI waje kunikatiza kwenye mstari.
 
kuna jamaa kani-pm anasema eti hawa jamaa ni UKAWA, hii ina ukweli?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…