Ipe maneno

Vijipesa Tsh 1.5m??? Isijekuwa ndo vile vya mh.vilivyoyeyushwa kiaina. Kwani huyo mpokeaji ndo nani?
 
Five hundren ? Hivi hawa watu wapo serious kabisa ? Wamejiandaa na hiyo dummy check ya kupigia picha sio ajabu kitengo kizima hakuna aliyona hiyo error...

Haya wee.. Jamani kuweni makini maana mnaanza kututia hofu na hela zetu mlizotuwekea.
 
Unazungumzia Error gani? Au tatizo lako ni hiyo 'N' badala ya 'D' mwisho wa hundred? Kama ni hiyo nadhani ni spelling tu, no big deal
 
Five hundren ? Hivi hawa watu wapo serious kabisa ? Wamejiandaa na hiyo dummy check ya kupigia picha sio ajabu kitengo kizima hakuna aliyona hiyo error...

Haya wee.. Jamani kuweni makini maana mnaanza kututia hofu na hela zetu mlizotuwekea.

Uko fiti mwenzetu????????
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…