Ipe maneno Picha yangu

Team mabadiliko, bibi mwenyewe sister du na kiduku chake
 
Ukweli mabibi tuna taabu. Ina maan huyu mjukuu kamwekea bibi yake hizo nywele bandia na kumlazimisha au kumwongoza afanye vile? Mimi napenda sana mabadiliko ila sasa wajukuu zetu mmezidi mtatufanya tushinde vituo vya kupiga kura halafu tukianza kupigwa tuwe wa kwanza kubandwa!! Pipoooos!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…