Ipe maneno picha hii.

Bunge la katiba hao ni wabunge wa ccm namwona na steve yupo karibu na kuvi.
 
bunge la SERIKALI 2 wanashangaa walivyoambiwa hawataongezewa posho hadi laki 7....
 
Dah! naiona rangi ya magamba wameikalia, nadhani hayo ni magamba kwenye mikutano yao kutunga rasimu mbadala. Ati nini? Nawaona wngine wanazomea serikali tatu na mwingine anakumbuka uwaziri wa kilimo cha ndizi?
 
namuona captain anapiga mihayo amausingizi sana
 
Kura ya siri imependekezwa hadi mh 6 na utundu wa lisusio wote wapo na mzee wa kilimo cha kuanzia yupo na ndizi mkononi akiwakilisha wakulima
 
Kwa mbaaali namuona Lema akiteta jambo na boss wake.
 
ngoja niangalie vizuri;ila kama nimemuona kayanza na stevie vile.
 
Wabunge wa CCM wakipewa msimamo wa chama, wanasikiliza kwa makini sana lakini hawaulizi maswali au kubisha kila wanachoambiwa, akili zao zipo kwenye ma-sa-bu-ri,
 
Bunge la katiba hao ni wabunge wa ccm namwona na steve yupo karibu na kuvi.

Mkuu sikuoni kwenye jukwaa letu siku hizi umehamia siasani nini kilikukimbiza kule? Ulipata au walikushusha mshipa?
 
Hivi apa tukimueka yule wa bunda utaweza kweli kutofautisha?
 
wabunge wa ccm hao,namwona lusinde na pinda,kwa mbaaali namcheki steve
 
hahahaha
hilo ni kama lilekusanyiko la wasiojua lililopo dodomya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…